FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

Weekend out


Weekend hii nilipata nafasi ya kuzunguka zunguka na one of my friend Neema, she wanted to do a small shopping and because i was free nikaamua kuzunguka nae mjini, mwisho wa safari zetu tukajikuta dukani kwa Amina designs!!
She is just a very sweet woman... was nice shopping at your stole Amina although sikupata chochote cha kiume zaidi ya lunch nzito na kuhaidiwa sneakers akirudi this month kutoka kuchukua new stock!!

2 comments:

  1. Anonymous00:47

    BADO KILIO CHANGU KWAKO MARTIN KUHUSU DEM WAKO TUWEKEE PICHA BASI MBONA UKO FREE SANA KUWEKA COUPLE ZA WENZAKO KWANINI WEWE UCIWE FREE PIA KUJIWEKA.WEKA BASI MWISHOWE NITAKUFA NAOMBA PICHA HATA HUWEKI WALA NINI KHAA.

    ReplyDelete
  2. ahhaha aha ah aha huwezi kufa bana

    ReplyDelete

sema tukusikie